baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Biashara Eastleigh Zaporwa, Madereva na Abiria Wakiibiwa Baada ya Mkutano wa Kisiasa wa Gachagua

    Biashara kadhaa katika eneo la Eastleigh, Nairobi, zilivamiwa na kuporwa huku baadhi ya madereva na abiria wakiripotiwa kuibiwa kufuatia mkutano wa kisiasa wa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Tukio hilo lilizua wasiwasi miongoni mwa wafanyabiashara na wananchi waliokuwa wakipita katika...
  2. FULL TEXT: Luhaga mpina ayachana maridhiano, adai Lissu amefungwa baada ya kushinda kesi ya uhaini. Huwezi JENGA MARIDHIANO kwa kufumbia macho dhuruma

    Asema kwamba Tanzania haiwezi kujenga maridhiano ya kudumu kwa kufunika madai ya dhuluma badala ya kuyatatua. Aliyekuwa mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, amepinga mchakato wa maridhiano unaoandaliwa na Serikali, akidai hauwezi...
  3. F

    Baada ya Tundu Lissu kuwa kiongozi mkuu hapo mbeleni, nani watamfaa kuiimarisha Serikali yake?

    Haya ni maoni binafsi, natumia uhuru wangu kutoa maoni, kamwe nisieleweke vibaya, ni uhuru wa maoni nilionao kikatiba. Kila mtu ajua kuwa CCM ilikufa rasmi October 29 2025, Sasa muda si muda,Tundu Lissu atakuwa kiongozi mkuu wa wa Tanzania Mungu akipenda. Sasa nauliza mapema,ni watu Gani...
  4. Karafuu kukatia Rufaa alizeti baada ya kushindwa kesi ya uhaini

    Tuliposema Karafuu imegaragazwa vibaya sana watu hawakuelewa technically Ina Maana gani 😁 Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amewasilisha taarifa ya kusudio la kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani ya Tanzania (Masjala Ndogo ya Dar es Salaam), akipinga uamuzi wa Mahakama Kuu uliomwachia huru...
  5. Kesi ya uhaini inayomkabili John Pambalu imeahirishwa baada ya hakimu anayesikiliza kesi hiyo kutopatikana mahakamani

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi Mhe. John Pambalu imeahirishwa baada ya hakimu anayesikiliza kesi hiyo kutopatikana mahakamani. Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 24 nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, Wakili wa Pambalu...
  6. Clatous chama ameshapaniki baada ya kuambiwa ukweli na mchambuzi Hansrafael

    KASHAPANIKI HUKOOO Ni sakata la Instagram, Kilichotokea ni hivi: 1. Hans Rafael alimchamba Chama Hans aliandika kwenye comment kwamba kiwango cha Chama kinashuka kila siku, hana tena ile moto ya msimu uliopita. 2. Chama akamjibu moja kwa moja Chama mwenyewe akaingia kwenye comment za Hans na...
  7. Aua watoto wake baada ya kupoteza mkeka

    Huzuni imetanda katika eneo la Chambori, Kaunti ya Bomet nchini Kenya, baada ya mwanamume mwenye umri wa miaka 32 kudaiwa kuwaua watoto wake wawili wenye umri wa miaka minne na saba, kisha kujaribu kujiua. Naibu Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Bomet, Moses Nampaiyo, amesema mtuhumiwa, aliyetajwa...
  8. O

    Taharuki Baada ya Aliyekuwa Mbunge wa North Horr Kupatikana Hai Baada ya Kutoweka

    Hofu na taharuki zilitanda mwishoni mwa wiki baada ya aliyekuwa Mbunge wa North Horr, Francis Chachu Ganya, kuripotiwa kutoweka katika mazingira ambayo bado hayajaeleweka, kabla ya kupatikana akiwa hai kando ya Barabara ya Ngong mjini Nairobi. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Mbunge wa...
  9. O

    Baada ya Citizen TV Kutoza KSh350 YouTube, KTN, NTV na KBC Watangaza Matangazo ya Bure

    Mwishoni mwa wiki, kampuni ya Royal Media Services (RMS) ilizua mjadala mkubwa mtandaoni baada ya kuanzisha ada ya kila mwezi ya KSh350 kwa watazamaji wanaotaka kufuatilia matangazo ya moja kwa moja ya Citizen TV, Inooro TV na Ramogi TV kupitia YouTube. Mpango huo unawapa wanachama uwezo wa...
  10. baada ya kupetezana kwa mda mlefu hatima wemekutana tena

    baada ya kupetezana kwa mda mlefu hatima wemekutana tena
  11. Muhimbili: Tumemrejeshea Tatu Hassan matumaini baada ya kukata tamaa ya maisha

    Tatu Hassan (23), mkazi wa Sangoma, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani, kwa miaka minne aliishi na uvimbe mkubwa chini ya taya uliomsababishia maumivu makali na msongo mkubwa wa mawazo, na kufikia hatua ya kukata tamaa na kutamani kufa. Kupitia utaalamu wa Madaktari Bingwa na Bobezi pamoja na...
  12. T

    Wananchi wenye hasira wateketeza majengo ya kampuni ya mwekezaji wa Kichina baada ya mwekezaji huyo kumpiga jiwe mfanyakazi mkoani Katavi

    Vurugu zilizozuka katika eneo la mgodi wa Jiuxing Mining Company uliopo Kijiji cha Kapanda, Kata ya Machimboni mkoani Katavi, yamesababisha uharibifu mkubwa baada ya sehemu ya makazi ya wafanyakazi kuteketezwa kwa moto. Tukio hilo linahusishwa na mvutano mkali baina ya mfanyakazi mmoja na...
  13. Kwahiyo baada ya Lissu kufungwa majukumu ya mwenyekiti wa CHADEMA Yanafanywa na nani? Au CDM ni Mali ya Lissu?

    Heche hawezi kuitisha uchaguzi wa kumpata mwenyekiti mpya kwasababu aliwekwa na Lissu, Jina la Heche lilikuwa kwenye mfuko wa Lissu kwahyo mchakato wa kumpata Heche ni batili ndo maana chama kinaongozwa na mfungwa...HII HAIJAWAHI TOKEA DUNIANI KOTE. Cha ajabu Lissu mwenyewe hakukabidhiwa ofisi...
  14. Leo Nimeshuhudia Passo imepaishwa Baada ya "kuguswa" na Scania tanker, Kimara - Morogoro Rd

    Jioni ya leo, mida ya saa 11:20, Morogoro Rd mitaa ya Kimara Kuna Passo nyeusi sijui ana haraka ya wapi, ilitaka kuovertake na kukaa mbele ya Scania tanker za Mafuta, zote zinaelekea uelekeo mmoja wa Mbezi. Aisee Ile Passo imeguswa kwa nyuma ikapaa upande wa kushoto hadi kwenye service road...
  15. O

    Ogiek wapewa mwanga wa ksh157.85 milioni baada ya miaka ya kusubiri

    Jamii ya Ogiek inakaribia kupata fidia ya KSh157.85 milioni kutoka kwa Serikali ya Kenya kutokana na dhuluma za kihistoria, baada ya mchakato wa kuanzisha mfuko maalum wa maendeleo kuingia hatua mpya. Fedha hizo zinatokana na uamuzi wa African Court on Human and Peoples’ Rights, iliyoiagiza...
  16. Leo nmeota Lissu atatoka baada ya mambo haya kupita

    Sijajua ni lini, lakini nimeota atatoka baada ya maridiano na MAREKEBISHO ya katiba mpya. Hii ni habari mbaya sana kwangu mana najua akisharudi mtaani atamsumbua sana daktari Samia suluhu (PhD)
  17. R

    Naona baada ya kelele nyingi Hukumu ya Lisu imewekwa! Je mliokuwa mahakamani mlichokisikia ndicho kilichoaandikwa kwenye hukumu?

    someni ni hiyo hapo
  18. O

    Gachagua Aibua Mjadala Baada ya Kudai Mavazi ya Ruto Kwenye Harusi ya Binti Yake Yaligharimu KSh Milioni 100

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amezua mjadala baada ya kudai kuwa Rais William Ruto alivaa mavazi yenye thamani ya KSh milioni 100 wakati wa harusi ya binti yake, Charlene Ruto, iliyofanyika Mwanza, Tanzania, Novemba 6, 2026. Akizungumza wakati wa ibada ya kanisa katika eneo la Lari...
  19. Baba Levo awatimua Polisi kwenye mashindao aliyoyaandaa, baada ya Polisi kuwakata wachezaji wa timu pinzani

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Chipando ambaye pia ni mwanzilishi wa mashindano ya Baba Levo Cup ameamua kuiondoa timu ya Polisi Kigoma kwenye mashindano hayo, kufuatia kukamatwa kwa wachezaji saba wa timu ya Kibirizi FC. Kupitia taarifa yake, Mbunge huyo amesema mchezo kati ya Polisi Kigoma...
  20. Kenya: Watu wanne wafariki baada ya ukuta kuporomoka

    Watu wanne wamethibitishwa kufariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa baada ya ukuta wa kuzuia udongo uliokuwa ukijengwa kuporomoka na kuwafunika wafanyakazi katika barabara ya Riverside, jijini Nairobi nchini Kenya, Jumamosi asubuhi. Tukio hilo limetokea karibu na jengo la Grand Residence wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…