Akili ni neno pana sana ambalo linarejelea uwezo wa kiroho na kiutendaji wa ubongo wa binadamu (au kiumbe hai) kufikiri, kuelewa, kujifunza, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi.
Kwa lugha rahisi, wakati ubongo ni kiungo kinachoonekana ndani ya kichwa (physical organ), akili ni matokeo ya utendaji kazi wa huo ubongo (mind/intellect).
Neno hili hutumika katika mazingira mbalimbali na linaweza kubeba maana zifuatazo kuu:
Uwezo wa Kujifunza na Kuelewa (Intelligence): Hili ni lile kundi la akili la darasani au uwezo wa ubongo kuchakata taarifa mpya haraka. Mfano, tunaposema "Mwanafunzi yule ana akili sana," tunamaanisha ana uwezo mkubwa wa kuelewa masomo na kufaulu.
Busara, Hekima, na Utambuzi (Common Sense): Hii ni uwezo wa mtu kupambanua kati ya jema na baya, na kufanya maamuzi sahihi katika maisha ya kila siku. Mtu anaweza asiwe na elimu kubwa, lakini akawa na akili ya maisha. Mfano: "Jambo hili linahitaji akili, siyo nguvu."
Mbinu, Ubunifu, au Ujanja (Ingenuity/Tact): Huku ni kutumia uwezo wako wa kufikiri kutafuta njia mbadala ya kutatua changamoto ngumu au kujiokoa katika mazingira magumu. Hii mara nyingi huitwa "akili ya kuzaliwa".
Hali ya Ufahamu (Consciousness/Sanity): Akili pia inamaanisha hali ya mtu kuwa sawa kiufahamu bila kuwa na matatizo ya mtikisiko au magonjwa. Mfano, tunaposema "Amepoteza akili," tunamaanisha amepata tatizo la afya ya akili (kuchanganyikiwa) au amelewa kiasi cha kutojitambua.
Wasaalam.................wana Jamiforums
Itabidi niende moja kwa moja kwenye pointi. Katika elimu ya Genetikia, mtoto hurithi takribani asilimia 50 ya vinasaba kutoka kwa mama na asilimia 50 kutoka kwa baba. Akili ya binadamu huathiriwa na vinasaba vingi vinavyotoka kwa wazazi wote wawili...
Watu wanaoitwa Robert mara nyingi ni watu wenye IQ kubwa sana akili kubwa sana .
Kuna watu wengi duniani wanaoitwa Robert ambao wameacha alama kubwa katika historia ya sayansi, teknolojia, biashara, uchumi, sanaa na uongozi.
1\. Robert Oppenheimer
Alikuwa mwanafizikia aliyeongoza kisayansi...
WATANZANIA 10 WENYE AKILI KUBWA: KUJIFUNZA KUTOKA KWA WATU WENYE UWEZO MKUBWA WA KUFIKIRI NA KUTEN
Utangulizi
Akili kubwa si lazima ipimwe kwa kiwango cha elimu, vyeti au uwezo wa kufanya vizuri darasani pekee. Akili inaweza kuonekana katika uwezo wa kuchambua matatizo, kutengeneza mifumo...
Kwanza wanajua kabisa yupo hapo madarakani si kwa sababu watanganyika wanataka awatawale.
Pili alipata nafasi ya kuwa raisi kwa namna ambayo kila mtanganyika hadi leo huwa anaona hana uhalali wa kuwa rais wa Tanganyika.
Anafanya siasa za kitoto akidhania kuwa Watanganyika ni wajinga na...
Kuna Mzee Chalinze kila alipopata matatizo ya kisiasa alisema ''ni upepo' utapita tu. Ni kweli ilitokea hivyo
Mzee akashauri uchaguzi ufanyike tu ni upepo utapita tena akijivunia alivyopindua meza Dodoma mkutano mkuu
Ushauri wake ulikubalika kwa kuangalia Historia na si nyakati na vizazi...
Kwa nini wanawake wengi walioshindwa maisha au wenye kipato kidogo hukimbilia biashara ya mapenzi kama njia ya kujipatia kipato?
Kwa nini huwa hawafikirii kazi nyingine tofauti na hiyo ya mabadilishano ya ngono kwa pesa kama ambavyo wanaume wanavyojitafuta kupata kipato?
Kuna uzi umeletwa humu ndani ukiwataja watu kadhaa kwamba ndio wenye uwezo mkubwa wa akili humu JF,
ila baada ya kufatilia kwa mda nimeona Kuna upotofu wa uelewa kuhusu uwezo wa akili.
Outstanding problem-solving abilities, ni moja ya sifa kubwa ya mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili.
Sasa...
Huyu jamaa nimekua nikimfatilia, muda sana, ana content zake huko you tube tiktok, insta, na kwingineko jamaa anabadili mademu, kinoma wanamshobokea wenyewe na yeye akiona mademu ana sifa sana nikujipigia tu kama ana sukuma mlevi
Sahizi Kila mwanachama wa chadema anaamini chadema ni Chama kikuu cha upinzani basi wanafurahii🤣🤣 sasa waulize wameshinda uchaguzi upi unaambulia matusi.
Sahzi wote wanaamini kuwa Lissu alikuwa anawafundisha Sheria mawakili Mahakamani 🤣🤣 sasa waulize Lissu mwenyewe yupo wapi kwasasa unaambulia...
Watanzania inawezekana ni viumbe vya ajabu zaidi duniani ndl maana wengine husema inawezekana TZ ni chaneli ya vichekesho huko mbinguni.
I magine mtu anaenda choni anakunya anajitawaza kwa kutumia mkono wake baadae huo mkono anaweza kutumia kula kitu na akaona sawa tu.
Ila Sasa mtanzania huyo...
Mkurugenzi wa Elimu ya Juu kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Stephen Maluka, amevitaka vyuo vikuu na vyuo vya elimu ya kati kuhakikisha vinaandaa programu maalumu za kuwajengea wanafunzi uelewa kuhusu ustawi wao, ikiwemo elimu ya afya ya akili na usimamizi wa fedha binafsi...
Machafuko yote unayoona duniani ,ukichaa wa kidini,ukichaa wa siasa,ukichaa wa vyeo ,kutawala wengine vyote vinasababishwa na pesa,Pesa imeleta machafuko,ukiwa una uchumi duni jua utajiingiza kwenye mifumo hatari iwe biashara za kuua wengine au madawa au ngono zembe,ukiwa na hela halal kias...
Niwachane tu ukweli wadau..
Kuishi single ni msala, kwanza unakuwa una hasira hasira tu.
Ndugu zangu mlio single, Kamwe usije kudhani una enjoy, NY friend you are just surviving..
Kama jinsi mwili wako unavyo taka chakula hata viungo vyako vya siri vinadai...
I need to reshape my love life...
Ninaandika hivi kuwakumbusha wanasiasa na umma wa Watanzania kwamba Tume ya Jaji CHANDE ilipendkeza kuwa na Mazungumzo,Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa ,Kuwa na Katiba mpya ifikapo 2028 na kwamba chaguzi zijazo za 2029/2030 zifanyike chini ya Katiba mpya,Fidia kwa waathirika nk.
Lakini kwa...
Hamjambo!
Bado najaribu kutafakari maamuzi yale makubwa zaidi yenye kuumiza zaidi. Sifikirii kwamba kulikuwa na tishio kubwa kiasi cha kutoa maamuzi ya shoot to kills.
Kimedani naona kabisa hayakuwa maamuzi sahihi. Na hayakuwa maamuzi ya lazima.
Kuanzia watu wenyewe ambao kimsingi hawakuwa na...
Kuna watu wana akili lakini hawana imani. Wengine wana imani lakini hawana akili ya kutumia fursa. Wengine wana bidii ya kufa mtu, lakini hawajui wanakimbilia wapi! 😂
Ukweli ni kwamba maisha yanahitaji vitu vitatu vinavyopaswa kwenda pamoja: Akili, Imani na Bidii.
Ukikosa kimoja, safari ya...