afya

  1. Bima ya afya iache ubaguzi

    Mnogage, Wakuu kuna kitu mm sikielewi kuhusu bima ya Afya ya Taifa, NHIF, bima hii ni yetu sote lakini m naona imekaa kuwapendelea watumishi wa serikali na kututesa watu tulipjiajiri ambao ndio wengi, Kwanin nasema hivyo ? Tazama, mtu anaelipwa 1,040,000/- anakatwa 31,000/- kwa mwezi kama...
  2. Rais William Ruto ashusha gharama za Bima ya Afya

    Rais #WilliamRuto amesema Serikali itafanya mabadiliko kwenye gharama za matibabu kwa Wananchi wa kipato cha chini wanaotumia Bima ya Mfuko wa Bima wa Taifa (NHIF) ambapo waliokuwa wanalipa Tsh. 8,201 kwa mwezi wataanza kulipa Tsh. 4,921. Ruto ameongeza kuwa Wananchi ambao hawana uwezo wa...
  3. Wananchi wanaoishi katika mazingira magumu kupatiwa Bima ya Afya iliyoboreshwa CHIF Kyela

    Zaidi ya Wananchi 100 Wilayani Kyela Mkoani Mbeya, wanaoishi katika mazingira magumu wanatarajiwa kupatiwa Bima ya Afya iliyoboreshwa CHIF na Umoja wa Wanakyela waishio ndani na nje ya Nchi katika Kyela Ibasa Festival itakayofanyika Desemba 27, 2023 Wilayani humo. Huo utakuwa ni msimu wa tano...
  4. Ofisi ya Mfamasia Mkuu inawanyanyasa sana wamiliki wa Maduka ya Dawa Nchini

    Ndugu zangu kuna hili janga linalowakumba wamiliki wa Maduka ya Dawa Nchini, kuna ukiritimba na unyanyasaji wa hali ya juu kwa Wafanyabiashara za Dawa! Hawa watu wanafanya biashara kama wakimbizi, ukaguzi kila siku kwa nia ya kujipatia rushwa! Madawa yote hata yale ya kawaida ambayo tulizoea...
  5. Siku ya Afya ya Akili Duniani

    Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 10 Oktoba. Lengo la siku hii ni kuongeza uelewa kuhusu masuala ya afya ya akili, kupunguza unyanyapaa, na kusaidia kutoa msaada kwa watu wenye matatizo ya afya ya akili. Inasisitiza umuhimu wa kujali afya ya akili kama sehemu muhimu...
  6. Dkt. Dugange Atoa Agizo, Kituo cha Afya Ulembwe Kikamilike Ifikapo Disemba 30, 2023

    Dkt. Dugange Atoa Agizo, Kituo cha Afya Ulembwe Kikamilike Ifikapo Disemba 30, 2023 NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe kuhakikisha ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kata ya Ulembwe unakamilika ifikapo...
  7. Kwanini Supplemetary na incomplete hazifanyiki kwa pamoja kwenye Vyuo vya Afya hasa ngazi ya Diploma?

    Kwanini suplementally na incomplete hazifanyiki kwa pamoja? Yaan unakuta mtu hakufanya mitihani kadhaa halafu baadhi akafanya sasa kwa bahati mbaya aka sup moja wapo lakini siku ya second sit anaambiwa afanye tu incomplete halafu Sup mpaka baadae why? Sababu ni kama kumpotezea mtu muda. Mdogo...
  8. DOKEZO Habari hii ikufikie Waziri wa Afya, ubabe wa Hospitali ya Muhimbili utaniua

    Waziri wa Afya ninaandika hili kwa uchungu mkubwa na majuto ya kujitawala, mimi ninaumwa nilikwenda hosipitali ya mkoa nikafanya X-Ray na Ct-Scan, kisha nikapewa rufaa kwenda Muhimbili. Nimeenda Muhimbili tarehe 9/11/2023 nikiwa na CD ya Ct-Scan ili daktari aicheze kuona tatizo langu, daktari...
  9. Watu wanaoishi kwa kuwinda na kukusanya kama Wahdzabe wana afya kuliko wakulima, wafugaji na watu wengine

    Mtaalamu mmoja alisema kuwa afya ya binadamu ilianza kuzorota pale alipoanza kulima. Huu ni ukweli kabisa. Babu zetu walipokuwa wanaishi kwa kuwinda na kukusanya walikula kila aina ya chakula. Walikula matunda, majani ya miti, nyama, asali, mayai ya ndege, wadudu, mizizi, samaki nk nk. Watu hawa...
  10. Wizara ya Afya yatoa tahadhari kwa Wananchi kipindi cha Mvua

    Ili kuepuka au kupunguza madhara ya kiafya yanayoweza kuletwa na mvua kubwa au mafuriko, Wizara ya Afya inatoa rai kwa wananchi kuchukua tahadhari zifuatazo wakati wa mafuriko: 1. Watahadharishe watoto na watu wengine kukaa mbali na mitaro ya maji, nguzo za umeme, kuta za nyumba na maeneo...
  11. Kujaza abiria hususan daladala na mwendokasi mamlaka inazingatia afya au magonjwa kuambukizwa kwa njia ya hewa?

    Kwa jiji letu Dar es salaam inaonekana kawaida daladala au mwendokasi kujaza watu kupita kiasi kwa sababu ya haraka au usafiri kubwa mgumu tunaweza kuweka juhudi kupambana na magonjwa ya kuambukizwa kwa njia ya hewa kwa gharama kubwa lakini tahadhari zinapuuzwa kila siku unapata taarifa kifua...
  12. Masihara haya ni hatari afya yako....Endeleeni tu ipo siku tu

    Msije sema sijawaambia!Angalia yaliyomkuta mwenzenu
  13. Wizara ya Afya imetangaza Shindano la kuandaa Jina na Nembo ya Mpango Jumuishi wa UKIMWI, Homa ya Ini na Magonjwa ya Ngono

  14. Kweli au si kweli, uvaaji wa kitu(metali) mkononi unaweza kuiathiri afya kwa ujumla?

    Kwa kweli mi utafiti wa kisayansi utakuja kunikuta baadaye tayari nishafikaga huko. Unajua mambo mengi tu yaliyopo kiasili, huwa tayari ndio ukweli sema tu unasubiria sayansi kuja kutoa maelezo kwamba kwa nini hicho kitu ni kweli. Lakini mi sio mjinga. Sitasubiri hadi mwanasayansi wa nje aje...
  15. Tozo za Miamala, Kodi za Vinywaji Vikali kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

    Akiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya Afya kwa Wote, Wizara ya Fedha imeridhia kuhamisha baadhi ya Kodi na Tozo kwenda kwenye mfuko huo...
  16. Serikali kurudisha tena Mswada wa Bima ya Afya kwa Wote tena bungeni kesho 01/11/2023

    Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kurejea Bungeni tena hapo kesho Novemba 1 2023 na Muswada wa Bima ya Afya kwa wote ambao ulikwama mnamo Mwezi Februari 2023 kwa hoja iliyotolewa na Bunge ya kutokuwepo kwa chanzo endelevu cha fedha kutekeleza Mpango huo. Muswada huu ni ndoto ya...
  17. Je, unajua sauti inayotokea unapobinya maungio (joints/knuckes) ya vidole hasa vya mikono haitokani na misuguano ya mifupa?

    Habari za Usubuhi! Kwa wale tuliozoea tukiamka au tukiwa tunajiandaa kubeba kitu kizito au tunaojiandaa na mazoezi au tuliozoea kubinya tu joint/knuckles za mikono yetu na Tunafurahi au tunapenda ile sauti inayolia 'Ta' 'Ta' na wengi huamini Kwamba Sauti ile inatokana na msuguano wa mifupa...
  18. Rais Samia anachukua sifa ya kuwa Rais bora wa mudawote katika uwekezaji wa Afya

    Mnyonge mnyongeni ila sifa yake muachieni. Sisi waswahilli tunatumia msemo huu kumsemea asiyependa kujikweza. Kabla ya kuingia katika madaraka ya Urais mhe.Samia Suluhu Hassan amekuwa ni muumini wa kuigwa na kutajwa kama mfano kati ya Viongozi wachache nchini waliotoa kipaumbele kwa vitendo...
  19. Jiji la Tanga Kuna vyuo vya Afya vidivyo na sifa kama uyoga baada ya Ummy mwalimu kuwa waziri wa Afya kulikoni?

    Serikali isipofuatilia kwa umakini sifa za uanzilishwaji wa vyuo vya Afya kuna uwezekano wa kuzalisha madaktari feki. Ukiangsli Jiji la Tanga , kwa mfano tangu mbunge wao Ummy Mwalimu awe waziri wa Afya, kuna vyuo vya afya vingi bubu vimeanzishwa kila kona ya Jiji kulikoni!
  20. Ripoti: Tanzania inatumia 10.1% ya Fedha za Mikopo kulipia Mikopo ya Nje

    Kwa mujibu wa Kanzidata ya Kimataifa ya Takwimu za Madeni (IDS) kuhusu Madeni ya Serikali za Afrika, imeonesha kati ya mwaka 2015 hadi 2023, Tanzania imetumia wastani wa 4.26% hadi 10.1% ya Fedha za Mikopo katika kulipa Deni la Nje. Ripoti imeonesha Nchi 30 za Afrika zinatumia Fedha nyingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…