afya

  1. David Kafulila: Kwa mujibu wa Moody's na FITCH Tanzania inaongoza kwa afya bora ya Uchumi Ukanda mzima wa Africa Mashariki

    David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki. "Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest"...
  2. Toto afya

    Wakuu,naskia toto afya imerudi kwa gharama yetu maskini,ni kweli? Tupeane info wazee.
  3. B

    Vyuo vya kati vya Afya

    Wapendwa habari ya uzima wetu. Samahani naomba msaada Nahitaji kufanya maombi ya nafasi kwa vyuo vya afya vya kati lakini sielewi dirisha linafunguliwa lini. Tafadhali naomba msaada kwa aliyewahi kufanya maombi vyuo vya afya vya kati maombi yanafanyika lini na kwa utaratibu gani?? Nisaidieni wandugu
  4. Rais Dkt. Mwinyi aishukuru Benki ya Dunia kwa Dola Milioni 100 Kuboresha Sekta ya Afya

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Benki ya Dunia kwa Msaada wa kiasi cha Dola Milioni 100 kwa ajili kuimarisha Miundombinu ya Sekta ya Afya hapa nchini. Rais Dkt.Mwinyi ameyasema hayo alipozungumza na Mkurugenzi Muendeshaji wa Benki hiyo...
  5. Haya ndio mapenzi bhana, Ayo ya kwenu mbwembwe tu🤣

    Haya ndio mapenzi bhana, Ayo ya kwenu mbwembwe tu🤣
  6. Hivi ni kweli kuishi karibu na palipo mnara ni hatari kwa afya ?

    Kumekua na maneno/minong'ono ya watu kuwa kwa mfano una kiwanja au shamba lako unakoishi alafu haya makampuni ya mitandao ya cm ikataka kuweka mnara kwenye eneo lako karibu na nyumba ni hatari kwa afya eti kwa sababu kwenye mnara kuna mionzi mikali sana ya mawasiliano inaadhiri baadhi ya seli...
  7. Nimetoka kumzika mshauri wangu wa afya alieniambia nitakufa muda mfupi kwa kumix energy drink na K Vant

    Habari Wakuu. Binafsi sijaleta mada hapa kama njia ya kutetea watu kuishi maisha yanayohatarisha afya zao. Ila nakumbusha tu kwamba hapa JF kufikia 20100, wote hatutakuwepo pasipo kujali wanaolinda Afya na wasiolinda. Binafsi mimi napenda kuishi katika maisha yanayonipa furaha ila licha ya...
  8. Magereza Yapongezwa Kutumia Mapato ya Ndani Utoaji Huduma za Afya

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI, Dkt. Christina Mnzava, amepongeza Jeshi la Magereza kwa kutumia fedha za mapato ya ndani ya Jeshi hilo katika ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi la Magereza Ukonga pamoja na kuboresha utoaji wa huduma za afya katika zahanati za...
  9. Namshukuru Mungu mno, hatimaye nina afya njema

    Salaam jamiiforum Mungu ni mwema kila wakati naweza kusema hivyo. Tarehe 13 mwezi wa kumi mwaka Jana 2024 nilipata ajali mbaya sana,tena mbaya mno. Hakika sikujua kama nitapona haswa baada ya daktari mmoja kuniambia nimeumia ndani Kwa ndani na X ray inaonesha upande wa mbavu ya kulia haipo...
  10. Car rentals/Magari ya kukodisha

    Need a ride? We’ve got you covered! From sleek sedans to rugged SUVs, Rhond's company limited offers top-quality rentals at unbeatable prices. ✨ Why choose us? ✅ Flexible rental options ✅ Affordable rates ✅ Well-maintained, reliable cars ✅ 24/7 customer support Book now and drive...
  11. S

    Imefikia mahali kunywa juice za dukani ni hatarishi kwa afya yako kuliko kunywa soda!

    Watu wangi hatutambui kwamba tatizo kubwa la kunywa soda kama Pepsi, Coca Cola nk, ni kwamba zina sukari nyingi sana ambayo si jambo zuri kwa afya yako. Sasa utakuta watu wengi sana wamekuwa na mawazo kwamba ni vema kunywa juice za dukani (processed juice) kuliko kunywa soda, na hata wengine...
  12. M

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Mazingira na NEMC- Kelele mitihani ni tishio la afya za wananchi na Ustawi wa Taifa

    Ndugu mheshimiwa Waziri naandika haya kukujuza kuwa. Kwa sasa nchini kiwango cha kelele mitaani kinatisha, ni jukumu la serikali kuchukua hatua ili kulinda Afya za wananchi na ustawi wa Taifa. Ndugu Waziri, leo hii kwenye vituo vya mabasi, masokoni, mitaani, kelele zimekuwa ni nyingi na tena...
  13. F

    Tendo la ndoa ni dawa. Kukaa muda mrefu bila kufanya sex kunaharibu afya ya akili.

  14. PreGE2025 John Heche: Dkt. Slaa akifia Gerezani, Rais Samia atawaambia nini Wananchi? Uonevu ni kitu kibaya

    Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya kukamatwa na kunyimwa dhamana kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Slaa na pia...
  15. PreGE2025 Serikali TAMISEMI yaahidi kuchangia zaidi ya Milioni 600 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya cha Ukumbi Kilolo, Iringa

    Serikali kupitia ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na serikali za mitaa - TAMISEMI (Afya) imeahidi kuchangia zaidi ya Milioni 600 hadi kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya cha Ukumbi kilichopo Kata ya Ukumbi Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa. Ahadi hii imetolewa na Naibu Waziri wa ofisi...
  16. Tuangalie mambo ya afya kidogo

    Hivi ndivyo wasemavyo wataalamu 👇
  17. Dkt. Mollel amjibu Lema kibabe kuhusu suala la ubora wa huduma za afya nchini

    Hayo yametokea Februari 11, 2025 wakati wa ibada ya mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara, Derick Magoma, ambapo Naibu Waziri wa Afya, Dr. Godwin Mollel alipojibu hoja za Godbles Lema wa CHADEMA kuhusu suala la afya, akigusia pia katika Magoma alipokuwa akiugua. Chanzo...
  18. Dkt. Ntuli Kaporogwe Kuwania Uongozi wa Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini

    Mkurugenzi wa Huduma za Kinga kutoka Wizara ya Afya Tanzania Dkt. Ntuli Kaporogwe anatarajiwa kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki, Kati, na Kusini (ECSA – HC). Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika leo Februari 11, 2025 kwenye...
  19. A

    KERO Kituo cha afya mji wa Tunduma wanatoza fedha kwa watoto chini ya miaka mitano

    Kituo cha afya mji wa Tunduma marufu kama Serikalini wanatoza fedha ya kumuona daktari, vipimo pamoja na kuuza dawa kwa wagonjwa wachanga wa chini ya miaka mitano Serikali iingilie kati suala hili kwani wananchi tunateseka kwani ni kinyume na sera ya serikali ya afya ya mama na mtoto.
  20. Afya ya akili ya "Diva" wa Wasafi ipo mashakani

    Hivi wakuu afya ya akili ya diva mnaiona ipo sawa kweli? Ana utoto mwingi sana ,juzi kati watu wamemzodoa aliyekuwa mume wake kapata chombo kipya na ni mrembo haswa, eti Diva naye kaona wivu aka download picha ya mkaka mtanashati akaposti kwamba ndo mpenzi wake kwa sasa hivyo hatishiki wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…