afya

  1. Kitabu gani unatafuta cha Afya kutoka kama amazon.com softcopy PDF vipo vyote bei 10,000 TZS kimoja

    Vitabu gani unahitaji kutoka amazon.com au sehemu yoyote vya aina zote kama Elimu, Kozi za Chuo, Dini, IT, ICT, Computer Science, Telecoms, Fedha, Forex, Trading, Finance, YouTube Automation, Science, Technology, Tutorials, na Vitabu vingine vingi. Vitabu vyote ni softcopy PDF kwa bei ya 10,000...
  2. Rais Samia anafungua Mkutano wa Tatu wa Kisayansi wa Afya JNICC, Dar es Salaam | 26 Novemba, 2026

    https://www.youtube.com/live/RHxzTxFUdNE Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akifungua Mkutano wa Tatu wa Kisayansi wa Afya ya Uzazi, Mama, Mtoto Mchanga, Mtoto, Vijana na Lishe, JNICC jijini Dar es Salaam Novemba 26, 2026.
  3. Miguu yako inawaka moto mchana na usiku? Usipuuze dalili

    MIGUU YAKO INAWAKA MOTO MCHANA NA USIKU? USIPUUZE DALILI HII! Umewahi kuhisi nyayo za miguu yako zinawaka moto kana kwamba unatembea juu ya makaa ya moto? Unakaa, unalala au unatembea, lakini bado unahisi miguu inaungua? Watu wengi hupata tatizo hili, lakini baadhi yao hulichukulia kama jambo...
  4. Mwigulu Nchemba aagiza ujenzi wa kituo kipya cha afya Ngerengere uanze

    ▪ Aelekeza ujenzi wa daraja la Tununguo uingizwe kwenye bajeti ijayo WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza ujenzi wa kituo kipya cha afya katika Kata ya Ngerengere, mkoani Morogoro, uanze na ameahidi kutafuta Sh. milioni 100 za kugharamia hatua za awali za mradi huo. Dkt. Mwigulu alitoa...
  5. Mhe. Rais Dkt. Samia awasili Jijini Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki kwenye Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika

    Mhe. Rais Dkt. Samia awasili Jijini Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki kwenye Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026)
  6. C

    Rais Samia aelekea Ethiopia kuzindua mpango wa afya ya mama na mtoto

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameondoka nchini leo, Novemba 22, 2026, kuelekea Addis Ababa nchini Ethiopia, kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Akiwa nchini Ethiopia, Rais Samia anatarajiwa kushiriki Mkutano wa Tano wa Kimataifa kuhusu Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto...
  7. M

    Jenister Mhagama – Waziri wa Afya aliyeuwawa kuficha ushahidi wa mauaji ya Watanzania zaidi ya 6,000

    Aliyekuwa Waziri wa Afya wakati wa mauaji makubwa na mabaya yaliyotekelezwa na utawala wa CCM chini ya Jakaya Kikwete, Samia Suluhu, Mkunda, Camilius Wambura, Faustine Mafwele, Murilo, Vikosi wa KMKM, Jeshi la Wananchi, Polisi, Uhamiaji, Magereza, TISS na wengine aliuwawa kama mmoja ya shahidi...
  8. Serikali yataka Elimu ya Afya ya Akili kupewa kipaumbele vyuoni

    Mkurugenzi wa Elimu ya Juu kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Stephen Maluka, amevitaka vyuo vikuu na vyuo vya elimu ya kati kuhakikisha vinaandaa programu maalumu za kuwajengea wanafunzi uelewa kuhusu ustawi wao, ikiwemo elimu ya afya ya akili na usimamizi wa fedha binafsi...
  9. Rais Samia Suluhu Hassan ang'ara COP31 Uturuki, hoja Nishati Safi ya kupikia mashuleni na Sekta za Afya.

    Raisi wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania adhihirisha ubora wake katika sekta ya nishati , Makubwa yanakuja baada ya COP31 Uturuki. #COP131 #SAMIA
  10. Asikwambie mtu, kuishi single kunaharibu sana afya ya akili

    Niwachane tu ukweli wadau.. Kuishi single ni msala, kwanza unakuwa una hasira hasira tu. Ndugu zangu mlio single, Kamwe usije kudhani una enjoy, NY friend you are just surviving.. Kama jinsi mwili wako unavyo taka chakula hata viungo vyako vya siri vinadai... I need to reshape my love life...
  11. U

    Bima ya afya iliyo nzuri!

    Habari ya leo wanajf! Ninaomba anayeifahamu bima nzuri ya afya na gharama zake kwa mwezi ninaomba anijuze! Miongoni mwa bima hizo ninaomba NHIF isiwemo!!!
  12. Ningekuwa raisi wa Taifa lolote ningeanza kuwathamini Wananchi na kulinda afya zao kwasababu wakiwa wazima wataingizia Serikali Trillions of Revenue

    Ningekuwa raisi wa Taifa lolote ningeanza kuwathamini Wananchi na kulinda afya zao kwasababu wakiwa wazima wataingizia Serikali Trillions of Revenue Utajiri wa Serikali unapatikana kwa uwepo wa Wananchi hai/rasilimali watuSerikali yeyote duniani inatakiwa kutunza afya ya Wananchi wake ili ivune...
  13. A

    DOKEZO Wajawazito wanalipa 'cash' Kituo cha Afya Buza mwaka wa pili sasa, kwanini hawatumii Control Number?

    Sisi baadhi ya Watumishi tunataka kupaza sauti kuhusu utaratibu wa ukusanyaji wa fedha kwa wajawazito katika Kituo cha Afya Buza (Buza Health Center) kilichopo Dar es Salaam. Fedha zinakusanywa kwa mkono bila kutolewa risiti, wakati Serikali ina mfumo wa malipo kwa kutumia Control Number, hali...
  14. Naomba kuifahamu cv ya waziri wetu wa afya!

    Mwenye nayo aitupie hapa lengo ni kufahamu kwa nia iliyo njema elimu za viongozi wetu,ili nasi tuige na tufanikiwe. INSHAALLAH.
  15. M

    Tusisubiri ugonjwa utufundishe umuhimu wa bima ya afya. Tuchukue hatua mapema

    BIMA YA AFYA KWA WOTE NI WAKATI WA KILA MTANZANIA KUCHUKUA HATUA KULINDA AFYA NA UCHUMI WA FAMILIA YAKE Na GULATONE MASIGA Kuna mambo mengi ambayo mwanadamu anaweza kuyapanga katika maisha yake, lakini si rahisi kupanga siku atakayougua, aina ya ugonjwa utakaomkabili wala gharama atakazohitaji...
  16. A

    KERO Watumishi wa Afya Njombe DC tunahamishwa bila kupewa stahiki zetu

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie changamoto inayotukabili watumishi wa Idara ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, ambapo DMO na Katibu wa Halmashauri wanafanya uhamisho wa watumishi mara kwa mara bila kuwalipa stahiki zinazotokana na uhamisho huo. Kwa mfano, mtumishi mwenye...
  17. O

    “Cetirizine Inabana Uke?” Wizara ya Afya Yaonya Wakenya Dhidi ya Matumizi Hatari ya Dawa Hiyo

    Wizara ya Afya nchini Kenya imewaonya wananchi dhidi ya kutumia dawa ya cetirizine kwa lengo la kuboresha tendo la ndoa, kufuatia madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa dawa hiyo inaweza kupunguza unyevunyevu na kufanya uke kuwa mbana zaidi. Akizungumza Jumatano, Novemba 4, 2026...
  18. A

    KERO Wizara ya Afya mbona mpo kimya kutoa mrejesho kwa Waombaji wa kushiriki CPHIA nchini Ethiopia?

    Lalamiko langu linahusu Wizara ya Afya kuhusu ukosefu wa mrejesho kwa waombaji waliofanikiwa kupata nafasi ya kushiriki Kongamano la CPHIA litakalofanyika nchini Ethiopia mwezi Novemba. Wizara ilitoa tangazo la fursa hiyo na kueleza kuwa waombaji watakaofanikiwa kuchaguliwa watagharamiwa na...
  19. KERO Uchafu kwenye machinjio ya Wilaya ya Hanang' iliyopo Katesh unahatarisha afya za Walaji

    Kumekua na changamoto ya usafi kwenye machinjio iliyopo wilaya ya Hanang katika mji mdogo wa katesh ambapo shimo la kutupia uchafu limejaa na kufurika jambo linalosababisha harufu kali kwa wananchi walioko jirani na kuleta wasiwasi kwa jamii juu ya usalama wa nyama inayoandaliwa machinjioni hapo...
  20. HOJA Bomoabomoa ya majengo Nzega na Tabora mjini haiana afya kwa Serikali. Waziri mwenye dhamana jiandae kutumbuliwa

    Tumeona waziri mwenye dhamana masanja kadogosa kaagiza TANROAD kubomoa majengo ambayo yamepita kwenye reserve ya barabara hasa maeneo ya mjini ambapo watu wanajitafutia kipato. Ni kweli watu walikosea kujenga katika maeneo hayo kwa sasa umewapa siku saba wabomoe wenyewe na wasipofanya hivo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…