africa

  1. Ukichunguza Marais na viongozi waliopita au wapo kwenye nchi zao waliweka mchango mkubwa na ndio zinamaendeleo makubwa tofauti Afrika

    Fikiria baba wa taifa wa Singapore kitabu chake kilikuwa na maono mpaka leo. Rais wa China mtu kabla ajashika uraisi lakini ana vitabu ambavyo china imefika hapo. Mfalme wa Dubai ana vitabu ambavyo mpaka leo nchi imefika leo. Hapo sija zungumzia ulaya,USA kama wengine .kwa urusi labda...
  2. E

    Prof Mohammed Hassen: Ethiopia anasema waarab(UAE) Wana project ya mda mrefu ya kumiliki bandari zote za Afrika ikiwemo ya Dar. TISS hawajui!?

    Nimesikiliza hii video hadi nikatamani kulia, humu ndani ameeleza pia project Yao ya kutaka kumiliki dhahabu za maeneo yetu kama ufaransa anavyo fanya kwa yaliyo kuwa makoloni yake.
  3. Mpemba aliwahi kuniuliza "unajua kwanini Uislam umeshikilia sana Uarabuni na Africa" akasema "kwa sababu waafrika na waarabu wanaongozwa na mihemuko"

    This was 2019, Tariq aliniambia kiuhalisia yote aliyofundishwa na yote aliojifunza mwenyewe haya hitaji uwe na fikra pevu na yenye mantiki ili yakukae utaishia kuyakimbia na malipo yake kutengwa kwa hio itakubidi uwe umejazwa hisia na muziki wa mambo ya kufikirika ndio uendane nayo.
  4. R

    Hakuna ukombozi wowote Afrika, bali tulibadilisha mkoloni Mweupe na kuleta mkoloni Mweusi. Actually ni fadhali ya Mkoloni Mweupe kuliko Mkoloni Mweusi

    Rais Samia ashukuru mchango wa Russia katika kupigania uhuru wa nchi za Africa. But kilichofanyika ni kubadirisha aina ya wakoloni. Mweupe replaced by Black ones! Tena Afadhali ya Mkoloni Mweupe kuliko Mweusi
  5. AFRODAD Urges Journalists to Expose Debt Crisis as Africa Loses Billions to Illicit Financial Flows

    AFRODAD Interim Executive Director, Dr. Theophilus Yungong Jong NAIROBI, Kenya – The African Forum and Network on Debt and Development (AFRODAD) has called on journalists across the continent to intensify scrutiny of public debt, illicit financial flows, and governance failures, warning that...
  6. K

    Ukijaza Undugu/Uzanzibari/Utanganyika kwenye Uongozi ndiyo yamkuta Mama Samia! 2026 eti una pongeza Urusi kwa ukombozi wa Africa!!!

    Tatizo la kujaza watu kwenye uongozi waliojaa uchawa na uzanzibari. Sasa Mama badala ya kusafiri nje kutafuta uwekezaji na technologia ili kukuza ajira na maendeleo anaenda Urusi eti kuwashukuru wa ukombozi wa Africa. Ukombozi gani wakati yeye mwenyewe hajachaguliwa, wabunge wanachaguliwa mezani...
  7. Mozambique: Five citizens killed in ‘xenophobic attacks’ in South Africa

    Mozambique said five of its nationals were killed in “xenophobic attacks” in South Africa at the weekend and efforts were under way on Tuesday to repatriate hundreds of others. However, the South African police confirmed only that two Mozambicans had died in violence in the southern coastal...
  8. O

    Hii nchi ya Ghana mambo yake kama haipo Africa vile

    Ghana wapo kwenye mchakato wa kupitisha Sheria ya kuwaruhusu wananchi wenye uraia nchi nyingine(diaspora) kuwa na fursa ya kugombea ubunge na kuwa na haki ya kuteuliwa nafasi ya uwaziri! Cha ajabu nchi yetu diaspora haruhusiwi hata kumiliki shamba kwenye nchi yake ya asili! Hivi changamoto hasa...
  9. Hivi kuna jamii yenye wanawake warembo zaidi ya wanawake wenye asili ya Africa?

    Ebony queens👑
  10. Nilivyonusurika kuchomwa moto nikiwa dukani usiku wa saa 9 South Africa

    Umbea
  11. Ni Africa tu ambapo mwenyekiti wa Chama yupo gerezani kwa makosa ya uhaini lakini bado anaendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA hii ni aibUu

    Africa Kuna maajabu sana, mtu yupo gerezani lakini bado anaendelea kuwa kiongozi na watu wanamuona Bado kiongozi sasa mkiambiwa ni misukule au manyumbu mtalaumu? Mtu anakesi ya uhaini huyo ni shetani kwa Mujibu wa makosa kwa Taifa lolote lile Duniani, amepoteza uzalendo kwa Taifa lake lakini...
  12. South Africa faces continental diplomatic quagmire as African envoys boycott Africa day celebrations

    🇿🇦 South Africa 🌍 📌 Envoys’ boycott signals lack of confidence in Pretoria’s ability to guarantee migrant safety. 📌 This boycott is not just symbolic—it represents a continental diplomatic quagmire that could isolate South Africa unless it urgently addresses xenophobia and restores trust...
  13. Watu weusi tunarudishwa utumwani wa kisasa sasa

    Watu weusi tunarudishwa utumwani wa kisasa sasa. Hakuna waafrika pakukimbilia afrika kila sehemu afrika ni kama ring tone zina fanana kwa ujinga wao. Hivi mnajua zile muvi za zombie ujumbe ulikuwa afrika itakuwa kama zombies na control na vikundi vya zombie wenye unafuu. Hii ripoti msije...
  14. Tanzania: United for Peace & Sovereignty

    Tanzanians are united in defending their country’s dignity, sovereignty, and peace. External campaigns built on misinformation will never define Tanzania’s identity or future
  15. Beside Tanzania, ni nchi gani Africa ungechagua kuweka makazi ya muda mrefu?

    Mimi ningechagua Botswana, Kuna demokrasia, kuna utulivu, hakuna mfumuko wa bei, lakini pia ni nchi inayoongoza kuwa na wadada wenye makebo makubwa.
  16. Joshua Baraka anaweza kuja kuwa Tishio East Africa endapo atajipanga vizuri

    Hapa Afrika Mashariki watu wengi uangalia skendo na vitu visivyokuwa na umuhimu hili kumuweka mtu pale kileleni. Diamond Platinumz ni msanii mkubwa tu Afrika Mashariki, lakini soko la dunia la muziki limekuwa likimsumbua sana na ujikuta akitumia nguvu sana kufanya collaboration na A-list wa...
  17. Rais Museveni; Africa iliachwa nyuma kimaendeleo na Asia kwa sababu ya kutaifisha biashara za sekta binafsi.

    Huyu mzee ana madini hatari. Msikilize https://www.facebook.com/share/v/18Z3GKN5RQ/
  18. G

    Why Is Event Planning in East Africa Still So Stressful? 🤔💍

    One thing many people in East Africa can agree on is this: Planning weddings and events is exciting… until the stress begins. From managing guest lists on WhatsApp, chasing RSVPs manually, tracking budgets in notebooks or Excel sheets, coordinating vendors through calls, and sending updates...
  19. Nilijifanya M-south Africa Pale Coco Beach. Dadeki! Ati Wali Samaki Tsh 85k wakati wiki hiyohiyo nilikula kwa 25. Wabongo uaminifu Zero

    Hamjambo wote! 1. Nje ya kuandika na kusoma soma ninapenda Kuogelea. 2. Sasa Kila wiki ninakuwa na ratiba ya kwenda beach kukata Maji baharini. Kwa Upare wangu mara nyingi naendaga Beach za bure hasa Siku za katikati za kazi. Weekend sio rahisi kunikuta huko. 3. Napenda kuoga Ile kabla ya...
  20. President Samia to Attend Africa Nuclear Summit in Kigali

    RWANDA 🇷🇼🇹🇿 TANZANIA President Samia Suluhu Hassan to attend the Nuclear Energy Innovation Summit for Africa scheduled from 18–21 May 2026 at the Kigali Convention Center.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…